UKIMJUA ANAE JUA NINI ANACHO KUWAZIA,ZAIDI YA YULE ANAEKUWAZIA PASI KUJUA ANACHO KUWAZIA, ITAKUSAIDIA KUTEMBEA KTK HATUA ZAKE ILI KUFIKA PALE MAWAZO YAKE JUU YAKO YANAPOISHIA.
Haleluya Rafiki Katika Krsto Yesu!/ T AFAKARI LA WIKI
Haleluya Rafiki Katika Krsto Yesu!/ T AFAKARI LA WIKI
Ni kweli kwamba si rahisi sana kutembea sawa na kusudi la Mungu kama yeye mwenyewe hajaamua kukusaidia,
lakini muhimu kujua,kuwa, ni ngumu sana kutaka kutembea kwenye mawazo aliyonayo juu yako, kwa hatua zako mwenyewe, kama anajua anacho kuwazia,basi anajua na hatua za kutembalea ktk mawazo hayo;
Tazama hapa
Yeremia 29:11 “Maana niyajua mawazo ninayowawazia ninyi,asema Bwana, ni mawazo ya amani, wala si ya mabaya,kuwapa ninyi, tumaini sikuzenu za mwisho.”

Kula Gombo
i/Swala si kwamba Mungu anakuwazia mwazo mazuri tu, kipo kitu kikubwa zaidi, kwamba, ANAJUA NINI(mawazo) ANAKUWAZIA, (hawazi tu,lakini, anajua na ana uhakika juu ya nini anacho kuwazia).
ii/ kitu anacho kiwaza Mungu ndicho kilicho jaa moyoni mwake, kama ana kuwazia mema, maana yake,ndani ya moyo wake kuna mipango na mikakati ya maisha yako
iii/ mipango na mikakati aliyonayo Mungu juu yako ina mahusiano sana na mwisho wako(your future and destine).
SASA:Inawezekana mwisho wa mwaka umekaribia, lakini, mipango yako haijaenda kama vile ulitarajia, kabla hujafikiri kukata tamaa fikiri nafasi ya Mungu ndani yako ili kuweka sawa mambo yako kabla asubuhi haijafika
Moja,muulize Mungu, yawezekana unalazimisha mfumo wako kwenda vile unatamani, wakati Mungu anajua mipango yako ya sasa ambayo ni muhimu uiendee ili isipishane na ile ya baadae itakayo kamilisha tumaini siku za mwasho(future)
Mbili, inawezekana kuna vituulivyo vipa nafasi vimeingilia kati kuharibu utaratibu alioupanga Mungu juu yako, na vimeharibu picha ya maisha yako,zaidi vimefunga mafanikio yako.Mungu anaweza kuingilia kati na kurudisha fulsa zilizo potea ili ukaea katika mfumo wa mawazo yake.
Tatu,Kiwango cha wewe kufanikiwa kibiblia hakipimwi kwa kiwango cha mali/pesa au nini unacho tu, ila kina pimwa kwa mahusiano ya nini unacho na kimekusaidiaje kutimiza kusudi la Mungu.
Kwahiyo hatakama unaona umefanikiwa kwa namna unayoijua wewe bado unanafasi ya kujifananisha na wazo la Mungu juu yako,ili ikusaidie kuishi ndani ya kusudi la Mungu.
@Daniel Mwaitenga.
Huduma Ya Gombo La Chuo.