THAMANI YA KUMTUMIKIA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO HAIPITWI NA WAKATI KAMA MAVAZI YANAVYOPITWA NA WAKATI
NEEMA ULIYOPEWA NI THAMANI:
UMEWAHI KUONA/KUFIKIRI NIUCHUNGU GANI ANAOUPATA MAMA ANAPO MWONA DAKTARI ANAJIZUNGUSHAZUNGUSHA WAKATI MUME AU MTOTO WAKE YUPO MAHUTUTI TENA KTK HATUA YAKUKATA ROHO?
AU UMEWAHI KUJILIZA NI KIWANGO GANI CHA MAUMIVU ANAKIPATA MAMA ALIYE OKOKA ANAPOJUA KUWA ALIYE MPATIA UJAUZITO MTOTO WAKE WA KIDATO CHA TATU NI MCHUNGAJI/ MTUMISHI ALIYE MWONGOZAGA SALA YATOBA?
Ni mifano mikali kidogo ila nisamehe mana nasikia kukupa ujumbe huu.
SIJUI HAYO MAUMIVU YAKOJE,NA JE? KWAMUNGU SI ZAID?
KAZI YA MUNGU NI NEEMA HAINA MAAMUZI YAKIBINADAMU WALA NAFASI NDOGO YA KUTAFUTIA UFAHALI KWA WANADAMU WANAO PITA TU...GALATIA 1;15-17.
NIKUTIE MOYO WEWE ULIYE ONA NI BORA UMTUMIKIE MUNGU KULIKO KUTUMIKIA MIUNGU YA DUNIA HII.
UNAPO PATA NEEMA HII SI UFAHARI KAMA MUNGU HAJAUDHIHIRISHA UFAHARI HUO NDANI YOKO NAWAOKUSIKIA AU KUTAZAMA. nawala sisemi usione fahari no!! nielewe vizuri.
NIMAUMIVU MAKALI SANA KAMA UMEPATA NEEMA ALAFU UNAICHEZEA.
NIPIGO KALI SANA KAMA UNATUMIA NAFASI HII KUKATISHA TAMAA WENGINE PINDI UNAVYO UTUMIA UTUMISHI WAKO NDIVYO SIVYO
KIU YANGU KWAKO, NI KUONA HUFIKI KIWANGO CHA KUKATA TAMAA WALA KUJARIBU KUTUMIA AKILI ZAKO ZA KIBINADAMU KTK KAZI HII YA MUNGU HASA UNAPOHUDUMIA ROHO,NAFSI NA MIOYO YA WATU.
KUDUMU KWA KAZI HII NI NEEMA KWANZA YAMUNGU KWA MTU, UNYENYEKEVU NA KUSHUKA, UTII NA KUTO KUWA NA MASHINDANO YOYOTE,
NAFASI YOYOTE MUNGU ANAYO IRUHUSU KWAKO, ITUMIE KWA HEKIMA YAKE NA UWONGOZI WA ROHO YAKE,Ni mifano mikali kidogo ila nisamehe mana nasikia kukupa ujumbe huu.SIJUI HAYO MAUMIVU YAKOJE,NA JE? KWAMUNGU SI ZAID?
KAZI YA MUNGU NI NEEMA HAINA MAAMUZI YAKIBINADAMU WALA NAFASI NDOGO YA KUTAFUTIA UFAHALI KWA WANADAMU WANAO PITA TU...GALATIA 1;15-17.NIKUTIE MOYO WEWE ULIYE ONA NI BORA UMTUMIKIE MUNGU KULIKO KUTUMIKIA MIUNGU YA DUNIA HII.
UNAPO PATA NEEMA HII SI UFAHARI KAMA MUNGU HAJAUDHIHIRISHA UFAHARI HUO NDANI YOKO NAWAOKUSIKIA AU KUTAZAMA. nawala sisemi usione fahari no!! nielewe vizuri.
NIMAUMIVU MAKALI SANA KAMA UMEPATA NEEMA ALAFU UNAICHEZEA.NIPIGO KALI SANA KAMA UNATUMIA NAFASI HII KUKATISHA TAMAA WENGINE PINDI UNAVYO UTUMIA UTUMISHI WAKO NDIVYO SIVYOKIU YANGU KWAKO, NI KUONA HUFIKI KIWANGO CHA KUKATA TAMAA WALA KUJARIBU KUTUMIA AKILI ZAKO ZA KIBINADAMU KTK KAZI HII YA MUNGU HASA UNAPOHUDUMIA ROHO,NAFSI NA MIOYO YA WATU.
KUDUMU KWA KAZI HII NI NEEMA KWANZA YAMUNGU KWA MTU, UNYENYEKEVU NA KUSHUKA, UTII NA KUTO KUWA NA MASHINDANO YOYOTE,
NAFASI YOYOTE MUNGU ANAYO IRUHUSU KWAKO, ITUMIE KWA HEKIMA YAKE NA UWONGOZI WA ROHO YAKE,
JE?
JE?
JE?
KAZI YAMUNGU SI KAMA FASHENI YANGUO, IFIKE KUCHAKAA NAKUBADILIKA AU KUPOTEA KAMA MUNGU HACHAKAI WALA HABADILIKI..............
UKIPATA KUSANYIKO LA WATU WENGI AU WADOGO LAFAA NINI KAMA MUNGU HAYUPO?
JE WAKIKUSIFU KWA UTUMISHI WAKO ALAFU MUNGU AKAKUCHUKIA YAFAA NINI?
UKIPONYA WENGIIII NAYULE ASIPONYE HATA MMOJA MUNGU AKASEMA SIKUJUI ITAFAA NN?