WAEFESO 6;19..
UMEWAHI JAPO KUFIKIRI NI NAMNA GANI TUNAHITAJI NEEMA YA MUNGU, HASA PALE TUNAPO PATA KIBALI CHA KUHUDUMIA KUSANYIKO LA WATU AMBAO KILA MMOJA ANAMTAZAMO WAKE, DINI YAKE, DHEHEBU LAKE NA MAAGANOYAKE?
ALAFU ANAEHUDUMIA ANATAKIWA ATOE TOFAUTI ZOTE HIZO NDANI YAO, NAKUMWACHILIA KRISTO NDANI YAKUSANYIKO HILO, TENA SI KUSANYIKO ILA KILA NAFSI IPATAYO NEEMA YAKUHUDHULIA NA KUSIKILIZA AU KUTAZAMA PIA, ILI WAWE WAMOJA.
SIO LAHISI, TENA BILA MUNGU HAKUNA ANAE WEZA.
SOMA VZUR MARKO 16;20 UTAELEWA NN NASEMA
NIKWAMAOMBI TU, TUNAWEZA KUMSOGELEA MUNGU, KWAUJASIRI WA DAMU YA YESU KRISTO NA KWA ROHO MATAKATIFU, ILI UTUKUFU WAKE UWAKUMBUKE HATA WALIOKUFA IMANI.
MUNGU AKUPE NAFASI HIYO YAKUFUKIRI HAYO, NDIPO UTAPOKEA ROHO YANEEMA NA MAOMBI, UWAOMBEE WATUMISHI WA MUNGU, KIBALI, NEEMA, NGUVU,HEKIMA, REHEMA, NA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU KWA CHAKULA CHA WATU SAHIHI,ENEO SAHIHI NA WAKATI SAHIHI.SIO LAHISI, TENA BILA MUNGU HAKUNA ANAE WEZA.
SOMA VZUR MARKO 16;20 UTAELEWA NN NASEMA
NIKWAMAOMBI TU, TUNAWEZA KUMSOGELEA MUNGU, KWAUJASIRI WA DAMU YA YESU KRISTO NA KWA ROHO MATAKATIFU, ILI UTUKUFU WAKE UWAKUMBUKE HATA WALIOKUFA IMANI.
MUNGU AKUPE NAFASI HIYO YAKUFUKIRI HAYO, NDIPO UTAPOKEA ROHO YANEEMA NA MAOMBI, UWAOMBEE WATUMISHI WA MUNGU, KIBALI, NEEMA, NGUVU,HEKIMA, REHEMA, NA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU KWA CHAKULA CHA WATU SAHIHI,ENEO SAHIHI NA WAKATI SAHIHI.