| WATU WALIO MPA BWANA MAISHA YAO |
| KUSANYIKO WAKIWA TAYARI KUPOKEA NENO |
| MT.DANIEL MWAITENGA AKIFANYA MAOMBEZI KWA WENYE SHIDA MBALIMBALI |
| MUDA WA KUSIFU NA KUABUDU, MTUMISHI DANIEL MWAITENGA AKIWA MADHABAHUNI |
| WATU WANAPITA MBELE KWAAJILI YA KUMPOKEA KRISTO |
| MAHUBIRI NA MT.DANIEL |
| MAOMBEZI KWA WENYESHIDA MBALIMBALI |
| MAKUTANO WAKIMSIFU MUNGU KWA FURAHA NA NGUVU, MANA MUNGU ALIFANYA VITU VYA AJABU. |
