... ukawaambie maneno yangu. Ezekiel 3:4

SEHEMU YA PILI: NAMNA YA KUJIUNGANISHA NA MUNGU KUPITIA SADAKA

SEHEMU YA PILI: NAMNA YA KUJIUNGANISHA NA MUNGU UTOAPO SADAKA Bwana asifiwe wewe upendwae sana na Mungu leo tuangalie "mambo ya kuzingatia utoapo sadaka ili kukutana na Mungu." Kumbuka tu sadaka ni ibada ambayo inakufanya kukutana na Mungu au kuunganisha moyo wako hasa uitoapo sawa sawa...
Share:

SEHEMU YA KWANZA: NAMNA YA KUJIUNGANISHA NA MUNGU KUPITIA SADAKA

NAMNA YA KUJIUNGANISHA NA MUNGU UTOAPO SADAKA. Bwana asifiwe!! Naamini upo tayari nikuletee somo hili, Basi neema ya Yesu Kristo, Upendo wa Mungu Baba na Ushirika wa Roho Mtakatifu ukufunike, Tutaangalia mambo makuu mawili Mambo ya kuzingatia utoapo sadaka ili kukutana na uwepo wa Mungu...
Share:

TAFAKARI LA WIKI 29/8/2015

UMEJIANFDAAJE”? Matendo ya Mitume 7: 18 “Hata mfalme mwingine akainuka juu ya misri, asiye mfahamu Yusufu.”  Tazama pamoja na mimi maneno haya; (MFALME MWINGINE), (MISRI) na (ASIYE MFAHAMU YUSUFU). Kuna maneno ya msingi sana tuyatazama katika tafakari hili kupitia Matendo ya mitume 7:18,...
Share:

HUDUMA YA GOMBO LA CHUO

Kwa kushirikiana na Kanisa la Moravian Sengerema.. Tunamshukuru Mungu wetu kwa Nguvu na Uweza kwa kutuwezesha Kuimaliza SEMINA ya Neno la Mungu katika eneo la Sengerema. Ubarikiwe zaidi kwa maombi yako,kwani yamekuwa Manukato mazuri mbele za Mungu.  Nasi tumeacha alama ya mbegu ya kiroho...
Share:
Designed and Developed by Joel Elphas 0757 755 228 or 0655 755 228 © 2025 HUDUMA YA GOMBO LA CHUO ...Ukawaambie maneno yangu. Ezekiel 3:4 | ronangelo | NewBloggerThemes.com